KILO 100+?
Tatizo linaweza kuwa kubwa kuliko namba kwenye mizani.
Wakati uzito mkubwa unaanza kuathiri sukari, usingizi, presha, magoti, kupumua na kutembea, huenda ikawa wakati wa kuzungumza kuhusu matibabu tofauti.
Uzito wa kilo 100+ unakuwa tatizo la kiafya lini?
Uzito pekee hauamui kama mtu anahitaji bariatric surgery. Kinachohusika zaidi ni kile ambacho uzito umeanza kufanya kwa afya na maisha ya kila siku.
Watu wawili wanaweza kuwa na kilo 120 na bado kuwa na hali tofauti kabisa kiafya.
Kwa mmoja, tatizo kuu linaweza kuwa kisukari. Kwa mwingine, usingizi mbaya, maumivu ya magoti, fatty liver au kupumua kwa shida.
“Unakoroma sana usiku.”
“Unachoka haraka kuliko zamani.”
“Sukari yako imepanda tena.”
“Magoti yanauma kila siku.”
Wasiwasi unapohama kutoka mwonekano kwenda afya, mazungumzo pia yanabadilika.
Obesity kali inaweza kuanza kuathiri usingizi, sukari, presha, joints na uwezo wa kufanya shughuli za kawaida.
Hapo ndipo swali linabadilika kutoka “nitapunguza kilo vipi?” kwenda “je, ninahitaji matibabu tofauti?”
Hii si mara ya kwanza kwa Dr Mohit Bhandari kuwa na mazungumzo na Kenya.
Picha hizi zinaonyesha baadhi ya mawasiliano ya awali Nairobi. Hazimaanishi kwamba kila mtu aliye kwenye picha alifanyiwa upasuaji au alipata matokeo fulani ya matibabu.
Uzito mkubwa hauondoi uwezekano wa treatment. Lakini planning inakuwa muhimu zaidi.
Kwa wagonjwa wenye uzito mkubwa sana, timu inaweza kuhitaji kupanga kwa uangalifu zaidi mambo yanayozunguka upasuaji.
Kilo 100+ zinamaanisha lazima ufanyiwe surgery?
Hapana. Uzito pekee hautoshi kufanya uamuzi huo.
Urefu, BMI, kisukari, presha, sleep apnoea, fatty liver na afya kwa ujumla vinaweza kuathiri uamuzi.
Hesabu BMI yako
Kwa elimu pekee. BMI peke yake haiwezi kuamua suitability ya surgery.
Si kila kitu unachosikia kuhusu bariatric surgery ni sahihi.
“Ni cosmetic surgery tu.”
Bariatric surgery ni matibabu ya obesity na metabolic disease kwa baadhi ya wagonjwa wanaofaa.
“Kilo 100+ = lazima surgery.”
Uzito pekee hautoshi. BMI, afya, comorbidities na assessment ya daktari bado ni muhimu.
“Surgery inaponya diabetes kwa kila mtu.”
Sukari inaweza kuboreka sana kwa baadhi ya wagonjwa, lakini diabetes remission si guaranteed cure.
“Baada ya surgery hakuna kazi nyingine.”
Nutrition, activity, supplementation na follow-up bado ni sehemu ya matibabu ya muda mrefu.
Ni surgery gani? Jibu halifanani kwa kila mtu.
Procedure inapaswa kufuata mgonjwa—si trend.
Gastric Sleeve
Sleeve gastrectomy hupunguza ukubwa wa tumbo na inaweza kuathiri satiety na ulaji.
Gastric Bypass
Roux-en-Y gastric bypass hutengeneza stomach pouch ndogo na kubadilisha njia ya sehemu ya utumbo.
One-Anastomosis Gastric Bypass
Pia huitwa OAGB au mini gastric bypass.
Revisional Bariatric Surgery
Kwa wagonjwa waliowahi kufanyiwa bariatric surgery na sasa wana weight recurrence, reflux au matatizo mengine.
Kwa BMI kubwa, uamuzi wa surgery ni zaidi ya operation yenyewe.
Bariatric surgeon anahitaji kuamua kama surgery inafaa, procedure gani inafaa na jinsi ya kupanga care kuzunguka operation.
Dr Mohit Bhandari anafanya kazi katika bariatric, metabolic, minimally invasive, robotic na revisional obesity surgery.
Kwa mgonjwa mwenye BMI kubwa, diabetes, sleep apnoea, reflux au surgery ya awali, planning inaweza kuwa muhimu kama operation yenyewe.
24 Septemba
24 Septemba si siku ya kufanya uamuzi kwa haraka. Ni siku ya treatment kwa wagonjwa ambao tayari wamefanyiwa tathmini na maandalizi yanayohitajika.
Uwe na taarifa hizi tayari.
Hii inaweza kusaidia team kuelewa case yako vizuri zaidi kabla ya consultation.
